a45e2961b25456e04e5bd3d09d6c9fd9d591fe8d

Willy Paul - digiri (degree) mp3 + lyrics

asd
Digiri

Intro
Binguni hakuna digiri, mungu wangu hana digiri, malaika
hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri… Some of you
call me WILLY PAUL WILLY POZZE, some of you call me just
POZZE
Heaven material!!! Verse 1
Leo nina mambo, nitatoboa mambo, natakasema mambo,
kama Rambo, sio Rambo kanambo, Rabuka mambo,
Mambo×3
Ukiniyima gilasi, hio sio mambo bali ni diambo na italeta
mambo,
Tuonyeshane upendo simungu alisema ati tuwe na upendo,
sio vita ka mama wa kambo.
Wengine wajidai ati wamesoma sana, waezi shirikiana na watu
wajasoma,
Wacha nikusho binguni hakuna shule sote tuko equal. Hio tu ni
mambo.
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja, huitaji awards kuingia heaven,
wacha nikusho siri moja huitaji digiri kuingia heaven×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana digiri, malaika
hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri ( digiri ×6)
Verse 2
Mmmmh Njeri usimulenge omondi, mmmh Njeri, usimulenge!!
Unaweza mlenga kumbe unaye mlenga ndiye yule mmoja
umekuwa ukimsaka, na itakuwa ni mambo, na mambo ni
mambo,
Alisema atakuja in so many forms, hautaji kujaza anyforms,
ukitenda mema… atakuchukuwa bila uniform.. Yeye hananga
mambo, ukiwa na jambo, wewe mtafute, atakupa kamambo,
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja huitaji awards kuingia heaven, wacha
nikusho siri moja, huitaji digiri kuingia heaven ×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana digiri, malaika
hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri ( digiri ×6) 


DOWNLOAD 


http://bejomp3.com/willy-paul-digiri-degree-mp3-lyrics-6.html DigiriIntroBinguni hakuna digiri, mungu wangu hana digiri, malaikahawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri… Some of youcall me WILLY PAUL WILLY POZZE, some of you call me justPOZZEHeaven material!!! Verse 1Leo nina mambo, nitatoboa mambo, natakasema mambo,kama Rambo, sio Rambo kanambo, MP3 #Degree, #Digiri, #Lyrics, #Paul, #Willy
Post Title : Willy Paul - digiri (degree) mp3 + lyrics

Willy Paul - digiri (degree) mp3 + lyrics,

0 komentar

Posting Komentar

Catatan: Hanya anggota dari blog ini yang dapat mengirim komentar.